Papa Pius VI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Pius VI

Papa Pius VI (27 Desemba, 171729 Agosti, 1799) alikuwa papa kuanzia 15 Februari, 1775 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Angelo Braschi. Alimfuata Papa Klemens XIV.

[hariri] Viungo vya nje

Papa Pius VI katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki


Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Pius VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.