Papa Klementi V

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Klementi V

Papa Klementi V (126420 Aprili, 1314) alikuwa papa kuanzia 5 Juni, 1305 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Bertrand de Goth. Alimfuata Papa Benedikt XI.

[hariri] Viungo vya nje

Kuhusu Papa Klementi V katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.