Papa Yohane I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Yohane I alikuwa papa kuanzia 13 Agosti 523 hadi kifo chake tarehe 18 Mei 526. Alimfuata Papa Hormisdas akafuatwa na Papa Felix IV.
Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 18 Mei.
[hariri] Viungo vya nje
- Kuhusu Papa Yohane I katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
- Patron Saints Index:
- Fontes Latinae de papis usque ad annum 530 (Papa Felix IV)
- Liber pontificalis
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |