Papa Felix IV
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Felix IV)
Papa Felix IV alikuwa papa kuanzia 12 Julai 526 hadi kifo chake tarehe 22 Septemba 530. Alimfuata Papa Yohane I akafuatwa na Papa Boniface II.
Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 22 Septemba.
Maandishi yake [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
- Kuhusu Papa Felix IV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki.
- Fontes Latinae de papis usque ad annum 530
- Liber pontificalis
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Felix IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |