Papa Felix IV
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Felix IV alikuwa papa kuanzia 12 Julai, 526 hadi kifo chake mwezi wa Septemba 530. Alimfuata Papa Yohane I.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Felix IV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Felix IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |