Papa Yohane X
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Yohane X alikuwa papa kuanzia Machi 914 hadi Mei 928 alipofungwa na watawala wa mji wa Roma. Alifariki kifungoni mwaka uleule. Alimfuata Papa Lando.
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane X kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |