Papa Telesphorus

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Telesphorus

Papa Telesphorus alikuwa papa kuanzia takriban 126 hadi kifo chake takriban 137. Alimfuata Papa Sixtus I. Sikukuu yake ni 5 Januari.

[hariri] Viungo vya nje

Kuhusu Papa Telesphorus katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Telesphorus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.