Papa Gregori XV
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Gregori XV (9 Januari 1554 – 8 Julai 1623) alikuwa papa kuanzia 9 Februari 1621 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Alessandro Ludovisi. Alimfuata Papa Paulo V akafuatwa na Papa Urban VIII.
Viungo vya nje [hariri]
Papa Gregori XV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori XV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |