Papa Gregori VIII
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Gregori VIII (takriban 1100 – 17 Desemba, 1187) alikuwa papa kuanzia 25 Oktoba, 1187 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Albert de Mora. Alimfuata Papa Urban III.
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |