Papa Pius IV
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Pius IV (31 Machi, 1499 – 9 Desemba, 1565) alikuwa papa kuanzia 25 Desemba, 1559 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Angelo de Medici. Alimfuata Papa Paulo IV.