Papa Stefano II
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Stefano II alikuwa papa kuanzia 26 Machi, 752 hadi kifo chake tarehe 26 Aprili, 757. Alimfuata Papa Zakarya.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Stefano II katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |