Papa Leo VI
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Leo VI alikuwa papa kuanzia mwezi wa Mei 928 hadi kifo chake mwezi wa Desemba 928. Jina lake la kuzaliwa pia lilikuwa Leo. Alimfuata Papa Yohane X. Leo VI alikuwa papa wakati Yohane X bado alikuwa hai kifungoni.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Leo VI katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
