Papa Nikolasi IV
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Nikolasi IV (30 Septemba 1227 – 4 Aprili 1292) alikuwa papa kuanzia 22 Februari 1288 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Girolamo Masci.
Alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo, halafu mkuu wake kama mwandamizi wa Bonaventura wa Bagnoregio.
Alimfuata Papa Honorius IV akafuatwa na Papa Celestino V.
Viungo vya nje [hariri]
Kuhusu Papa Nikolasi IV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Nikolasi IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
