Papa Stefano VIII
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Stefano VIII alikuwa papa kuanzia 14 Julai, 939 hadi kifo chake mwisho wa Oktoba, 942. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa halijulikani. Alimfuata Papa Leo VII.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Stefano VIII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
