Papa Klementi VI
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Klementi VI (takriban 1291 – 6 Desemba, 1352) alikuwa papa kuanzia 7 Mei, 1342 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pierre Roger. Alimfuata Papa Benedikt XII akiwa papa wa nne aliyetawala kutoka mji wa Avignon.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Klementi VI katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
