Papa Innocent VI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Innocent VI

Papa Innocent VI (1282 au 1295 – 12 Septemba, 1362) alikuwa papa kuanzia 18 Desemba, 1352 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Étienne Aubert. Alimfuata Papa Klementi VI.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Innocent VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.