Papa Yohane XXII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Yohane XXII

Papa Yohane XXII (takriban 12494 Desemba, 1334) alikuwa papa kuanzia mwaka wa 1316 hadi kifo chake. Alichaguliwa tarehe 7 Agosti, 1316, na kuvishwa taji tarehe 5 Septemba mwaka uleule katika mji wa Lyons.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Jacques Duèze (au d'Euse). Alimfuata Papa Klementi V.

[hariri] Viungo vya nje

Kuhusu Papa Yohane XXII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane XXII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine