Papa Benedikto XV

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Benedikt XV

Papa Benedikt XV (21 Novemba, 185422 Januari, 1922) alikuwa papa kuanzia 3 Septemba, 1914 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giacomo della Chiesa. Alimfuata Papa Pius X (1903-14).

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto XV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.