Papa Klementi III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Klementi III

Papa Klementi III alikuwa papa kuanzia 19 Desemba, 1187 hadi kifo chake tarehe 27 Machi, 1191. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Paulino Scolari. Alimfuata Papa Gregori VIII.

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.