Papa Fabian
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Fabian alikuwa papa kuanzia Mwezi wa Januari, 236 hadi kifodini chake tarehe 20 Januari 250. Alimfuata Papa Antero akafuatwa na Papa Kornelio.
Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 20 Januari.
[hariri] Viungo vya nje
Kuhusu Papa Fabian katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Fabian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |