Papa Antero

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Antero

Papa Antero alikuwa papa kuanzia 21 Novemba, 235 hadi kifo chake tarehe 3 Januari, 236. Alimfuata Papa Pontian.

[hariri] Viungo vya nje

Kuhusu Papa Antero katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Antero kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.