Papa Klementi XII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Klementi XII

Papa Klementi XII (7 Aprili 16526 Februari 1740) alikuwa papa kuanzia 12 Julai 1730 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Lorenzo Corsini. Alimfuata Papa Benedikt XIII akafuatwa na Papa Benedikto XIV.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Papa Klementi XII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki


Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi XII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.