Papa Stefano V
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Stefano V alikuwa papa kuanzia Septemba 885 hadi kifo chake tarehe 14 Septemba 891.
Alimfuata Papa Adrian III akafuatwa na Papa Formosus.
Maandishi yake [hariri]
- Opera Omnia kadiri ya Migne katika Patrologia Latina pamoja na faharasa
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |