Papa Stefano VI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Stefano VI.

Papa Stefano VI alikuwa Papa kuanzia Mei/Juni 896 hadi kifo chake mnamo Julai/Agosti 897[1]. Alitokea Roma, Lazio, Italia[2].

Alimfuata Papa Bonifasi VI akafuatwa na Papa Romanus.

Anajulikana hasa kwa kuchimbua na kunajisi maiti ya Papa Formosus. Mwenyewe aliuawa kwa tendo hilo.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Stefano VI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.