Papa Leo V
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Leo V alikuwa papa kuanzia Julai 903 hadi kifo chake mwezi wa Septemba 903. Jina lake la kuzaliwa halijulikani.
Alimfuata Papa Benedikto IV akafuatwa na Papa Sergio III.
Marejeo [hariri]
- Norwich, John Julius, The Popes: A History (2011)
- Mann, Horace K., The Lives of the Popes in the Early Middle Ages, Vol. IV: The Popes in the Days of Feudal Anarchy, 891-999 (1910)
- DeCormenin, Louis Marie; Gihon, James L., A Complete History of the Popes of Rome, from Saint Peter, the First Bishop to Pius the Ninth (1857)
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |