Papa Klementi VIII
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Klementi VIII (24 Februari 1536 – 3 Machi 1605) alikuwa papa kuanzia 30 Januari 1592 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ippolito Aldobrandini. Alimfuata Papa Innocent IX akafuatwa na Papa Leo XI.
Viungo vya nje [hariri]
Papa Klementi VIII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |