Papa Yohane VIII
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Yohane VIII alikuwa papa kuanzia 13 Desemba, 872 hadi kifo chake tarehe 16 Desemba, 882. Alimfuata Papa Adrian II.
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane VIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |