Papa Benedikto V
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Benedikto V alikuwa papa kuanzia 22 Mei hadi 23 Juni, 964. Jina lake la kuzaliwa halijulikani. Alimfuata Papa Yohane XII. Alilazimishwa kujiuzulu na Mfalme Mkuu Otto I wa Ujerumani aliyemtuma kwenda mji wa Hamburg alipofariki tarehe 4 Julai, 966.
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |