Papa Klementi XI
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Klementi XI (23 Julai, 1649 – 19 Machi, 1721) alikuwa papa kuanzia 23 Novemba, 1700 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Francesco Albani. Alimfuata Papa Innocent XII.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Klementi XI katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Klementi XI kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
