30 Novemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Okt - Novemba - Des | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1406 - Uchaguzi wa Papa Gregori XII
Waliozaliwa [hariri]
- 1683 - Mfalme George II wa Uingereza
- 1813 - Charles-Valentin Alkan, mtunzi wa muziki kutoka Ufaransa
- 1817 - Theodor Mommsen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1902)
- 1835 - Mark Twain, mwandishi kutoka Marekani
- 1869 - Nils Dalen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1912)
- 1874 - Winston Churchill (Waziri Mkuu wa Uingereza, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1953)
- 1889 - Edgar Adrian (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1932)
- 1912 - Gordon Parks, msanii wa Marekani
- 1915 - Henry Taube, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1983
- 1926 - Andrew Schally (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1977)
- 1945 - Telesphore Mkude, askofu Mkatoliki nchini Tanzania
- 1982 - Elisha Cuthbert, mwigizaji filamu kutoka Kanada
Waliofariki [hariri]
- 1577 - Cuthbert Mayne (padre Mkatoliki na shahidi Mtakatifu)
- 1830 - Papa Pius VIII