Cuthbert Mayne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Padri Cuthberth Mayne.

Cuthbert Mayne (154430 Novemba, 1577) alikuwa mchungaji wa Kanisa la Anglikana nchini Uingereza kabla hajajiunga na Kanisa Katoliki na kupewa daraja ya upadri.

Hii ilimsababisha kuuawa chini ya sheria ya malkia Elizabeth I.

Mwaka 1970 alitangazwa kuwa mtakatifu kama mfiadini.

Sikukuu yake ni 25 Oktoba.

[hariri] Marejeo

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cuthbert Mayne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine