24 Novemba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Okt - Novemba - Des
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30
Kalenda ya Gregori

Tarehe 24 Novemba ni siku ya 328 ya mwaka (ya 329 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 37.

Matukio[hariri | hariri chanzo]

Waliozaliwa[hariri | hariri chanzo]

Waliofariki[hariri | hariri chanzo]

Sikukuu[hariri | hariri chanzo]

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Andrea Dung-Lac na wenzake, Krisogoni, Firmina wa Amelia, Protasi wa Milano, Romano wa Blaye, Porsiani abati, Flora na Maria, Alberti wa Louvain, Petro Dumoulin, Petro Vo Bang Khoa, Visenti Nguyen The Diem n.k.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 24 Novemba kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.