19 Novemba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Okt - Novemba - Des | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | |||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
- 1523 - Uchaguzi wa Papa Klementi VII
[hariri] Waliozaliwa
- 1464 - Go-Kashiwabara, mfalme mkuu wa Japani (1500-1526)
- 1831 - James A. Garfield, Rais wa Marekani (1881)
- 1887 - James Sumner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946)
- 1912 - George Palade, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1974
- 1915 - Earl Sutherland (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1971)
- 1936 - Yuan Lee, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1986
- 1962 - Jodie Foster, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 496 - Papa Gelasio I
- 1478 - Baeda Maryam I, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi
- 1850 - Richard M. Johnson, Kaimu Rais wa Marekani (1837-1841)
- 2004 - John Vane, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1982