Severini, Esuperi na Felisiani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Severini, Esuperi na Felisiani (walifariki Braine-sur-la-Vesle, karibu na Vienne, leo nchini Ufaransa, karne ya 3 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa katika dhuluma wa Dola la Roma[1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 19 Novemba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.