Papa Gelasio I
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Gelasio I alikuwa papa kuanzia 1 Machi 492 hadi kifo chake tarehe 19 Novemba 496. Alimfuata Papa Felix III akafuatwa na Papa Anastasio II.
Alikuwa papa wa tatu mwenye asili ya Afrika kaskazini.[1]
Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehee 21 Novemba.
Yaliyomo |
Maandishi yake [hariri]
Kati ya mapapa wa karne za kwanza, ndiye aliyeandika zaidi.
- Opera Omnia by Migne Patrologia latina with analytical indexes
- Duo sunt: introduction and text in English
- Decretum Gelasianum: De Libris Recipiendis et Non Recipiendis
Tanbihi [hariri]
- ↑ Browne, M. (1998). "The Three African Popes.". The Western Journal of Black Studies 22 (1): 57–58. http://www.questia.com/PM.qst?a=o&se=gglsc&d=5001392071. Retrieved 2008-04-10.
Marejeo [hariri]
- Liber pontificalis
- Fontes Latinae de papis usque ad annum 530 (Papa Felix IV)
- vita written by Cassiodorus' pupil Dionysius Exiguus.
- Norman F. Cantor, Civilization of the Middle Ages.
Viungo vya nje [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gelasio I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
