Papa Anastasio II

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Papa Anastasio II alikuwa papa kuanzia 24 Novemba, 496 hadi kifo chake tarehe 16 Novemba, 498. Alimfuata Papa Gelasio I.

[hariri] Viungo vya nje

Kuhusu Papa Anastasio II katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Anastasio II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.