Papa Gregori XII

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Papa Gregori XII

Papa Gregori XII (alifariki 18 Oktoba 1417) alikuwa papa kuanzia 30 Novemba 1406 hadi 4 Julai 1415. Mwaka wake wa kuzaliwa haujulikani (umekadiriwa kuwa kati ya 1326 na 1345). Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Angelo Correr. Alimfuata Papa Innocent VII akafuatwa na Papa Martin V. Alijiuzulu ili kumaliza farakano kuu ya kanisa.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Papa Gregori XII katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki

Pope.svg Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori XII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.