Papa Gregori IX
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Gregori IX (takriban 1143 – 22 Agosti, 1241) alikuwa papa kuanzia mwaka wa 1227 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Ugolino dei Conti. Alimfuata Papa Honorius III.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Gregori IX katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Gregori IX kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |