Go-Kashiwabara

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Go-Kashiwabara (19 Novemba, 146419 Mei, 1526) alikuwa mfalme mkuu wa 104 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Katsuhito. Tarehe 16 Novemba, 1500 alimfuata baba yake, Go-Tsuchimikado, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwana wake, Go-Nara.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Go-Kashiwabara" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Go-Kashiwabara kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi