Earl Sutherland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Earl Sutherland

Earl Wilbur Sutherland, Jr. (19 Novemba 19159 Machi 1974) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza umetaboli wa wanyama. Mwaka wa 1971 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Earl Sutherland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.