Telesphore Mkude

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Telesphore Mkude (amezaliwa Pinde, mkoa wa Morogoro, tarehe 30 Novemba 1945) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania.

Alipata upadrisho tarehe 16 Julai 1972.

Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa tarehe 26 Aprili 1988 kwa ajili ya jimbo Katoliki la Tanga.

Tangu mwaka 1993 ni askofu wa Jimbo la Morogoro.

Viungo vya nje [hariri]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Telesphore Mkude kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.