23 Julai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jun - Julai - Ago | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1649 - Papa Klementi XI
- 1796 - Franz Berwald, mtunzi wa muziki kutoka Uswidi
- 1892 - Haile Selassie, Mafalme Mkuu wa Ethiopia
- 1906 - Vladimir Prelog, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1975
Waliofariki [hariri]
- 1885 - Ulysses S. Grant, Rais wa Marekani (1869-1877)
- 1916 - William Ramsay (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1904)
- 1955 - Cordell Hull (mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1945)
- 1968 - Henry Dale (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1936)
- 1974 - James Chadwick (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1935)
- 1994 - Mario Brega, mwigizaji wa filamu kutoka Italia
- 2007 - Ernst Otto Fischer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1973