28 Julai
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jun - Julai - Ago | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1904 - Pavel Cherenkov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958)
- 1915 - Charles Townes (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1964)
- 1925 - Baruch Blumberg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1976)
Waliofariki [hariri]
- 450 - Theodosius II, Kaizari wa Dola la Roma Mashariki (408-450)
- 1057 - Papa Viktor II
- 1741 - Antonio Vivaldi, mtungaji wa muziki kutoka Italia
- 1750 - Johann Sebastian Bach
- 1930 - Allvar Gullstrand (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1911)
- 1968 - Otto Hahn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1944)
- 2002 - A.J.P. Martin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1952)
- 2004 - Francis Crick, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962