Papa Viktor II
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Viktor II (takriban 1018 – 28 Julai 1057) alikuwa papa kuanzia 13 Aprili 1055 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gebhard wa Calw, Tollenstein na Hirschberg.
Alimfuata Papa Leo IX akafuatwa na Papa Stefano IX.
Viungo vya nje [hariri]
Papa Viktor II katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Viktor II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |