9 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jan - Februari - Mac | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | ||||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1621 - Uchaguzi wa Papa Gregori XV
- 1863 - Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu imeanzishwa.
Waliozaliwa [hariri]
- 1773 - William Henry Harrison, Rais wa Marekani (1841)
- 1910 - Jacques Monod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 1940 - John Maxwell Coetzee (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2003)
- 1944 - Alice Walker (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1983)
- 1956 - Chenjerai Hove, mwandishi kutoka Zimbabwe
- 1985 - Emmanuel Adebayor, mchezaji wa mpira kutoka Togo
Waliofariki [hariri]
- 1881 - Fyodor Dostoyevski, mwandishi Mrusi
- 1994 - Howard Temin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1975)