Alice Walker

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Alice Walker, 1989

Alice Malsenior Walker (amezaliwa 9 Februari, 1944) ni mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Aliandika hasa riwaya na mashairi yanayoonyesha hali ya Wamarekani-Waafrika. Anajulikana hasa kwa riwaya yake “Rangi ya Zambarau” (kwa Kiingereza: The Color Purple) iliyotolewa 1982. Mwaka wa 1983 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya riwaya hiyo.

Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alice Walker kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine