23 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jan - Februari - Mac | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | ||||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Tarehe 23 Februari ni sikukuu ya Polikarpo Mtakatifu, askofu wa mji wa Smirna.
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1417 - Papa Paulo II
- 1924 - Allan Cormack, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1979
Waliofariki [hariri]
- 155/156 au 166/167 - Polikarpo Mtakatifu, askofu wa mji wa Smirna
- 1447 - Papa Eugenio IV
- 1848 - John Quincy Adams, Rais wa Marekani (1825-1829)
- 1934 - Edward Elgar, mtunzi mashuhuri wa muziki kutoka Uingereza
- 1973 - Dickinson Richards (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1956)