Seif Ali Iddi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Seif Ally Iddi)
Balozi Iddi, 2015

Seif Ali Iddi (amezaliwa 23 Februari, 1942) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Mengi kuhusu Seif Ally Iddi". 21 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-21. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011. 

Chanzo[hariri | hariri chanzo]