Papa Eugenio IV
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Eugenio IV (1383 – 23 Februari, 1447) alikuwa papa kuanzia 3 Machi, 1431 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Gabriele Condulmer. Alimfuata Papa Martin V.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Eugenio IV katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Eugenio IV kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |