17 Februari
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jan - Februari - Mac | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | ||||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1867 - meli ya kwanza inapita Mfereji wa Suez
Waliozaliwa [hariri]
- 1888 - Otto Stern (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1943)
- 1961 - Andrey Korotayev, mwanahistoria na mwanauchumi maarufu nchini Urusi
- 1965 - Michael Bay, mtayarishaji wa filamu kutoka Marekani
- 1971 - Denise Richards, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1985 - Anne Curtis, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino na Australia
Waliofariki [hariri]
- 1673 - Moliere, mshairi kutoka Ufaransa
- 1970 - Shmuel Yosef Agnon (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1966)